LIVE PERFORMANCE; BONE THUGS-N-HARMONY IN BET HIPHOP AWARDS.
Bone Thugs nao waliperform vema kabisa na kupigiwa shangwe la uhakikika ndani ya BET Hip Hop Awards, cheki hapo shangwe lililopigwa wakati waki perform nyimbo zao Thuggish Ruggish Bone, 1st Of The Month and Crossroads. R.I.P. Eazy-E.