Breaking News

:

LADY JAYDEE NA SALIF KEITA NDANI YA COKE STUDIO AFRICA, SEASON 1.

Ni performance ya ukweli iliyofanywa na nguli  wa muziki wa kiafrika Salif Keita akiwa na Lady   Jaydee  ndani ya Coke Studio Africa, Season 1, Episode 1: ambao waliimba nyimbo ya Salif Keita    inayoitwa Afrika. Wote wawili wakisifia vipaji vyao. Cheki hapo chini;