BONGODAY EXPLOSION; LIL FLIP-RAPPER ALIYE KWENYE MIXTAPES 1000.
download here Lil Flip ft Leah-sunshine.mp3
Wesley Eric Weston, Jr. a.k.a Lil' Flip, alizaliwa March 3, mwaka 1981 huko Texas, Marekani, hujulikana zaidi kwa nyimbo yake kali sunshine ambayo ni moja kati ya my favarate song iliyonifanya nichapishe hii makala fupi kuhusu Lil Flip, ni nyimbo yenye beat kali michano ya uhakika na sauti ya mwanadada Lea
akichomboza kwa chini, nyimbo nyingine za rapper huyu mwenye tattoo za uhakika ni kama game over, The Way We Ball, I Can Do Dat and Rollin on 20's kutoka the 2 fast 2 furious soundtrack. Pia inasadikika huyu ni moja kati ya wasanii walio tokea kwenye mixtapes 1000 mpaka sasa.
watch out sunshine video.