Breaking News

:

BONGODAY EXPLOSION; DRAKE- FIND YOUR LOVE, ( HAPPY BIRTHDAY DRIZZY DRAKE!)

Leo ni siku ya kuzaliwa kwa nguli wa muziki wa Hiphop & R&B, Aubrey Drake Graham a.k.a DRIZZY DRAKE, ambaye ni mkanada aliyezaliwa tarehe 24 octoba siku kama ya mwaka 1986 huko Toronto, Ontario, Canada, "Find Your Love  ni moja ya nyimbo zake zilizompa umaarufu mkubwa sana katika hili game la muziki, wimbo uliandikwa na Drake, Patrick Reynolds, Jeff Bhasker, pamoja na Kanye West, na kurekodiwa na the latter two na  No I.D. Ulikuwa ni wimbo wa pili kutoka katika albam yake ya Thank Me Later, na kutolewa redio tarehe 28 april, 2010,
DOWNLOAD AND LISTEN FIND YOUR LOVE BY DRAKE