
Hili ni swali linaloweza kuwa vichwani mwa wengi kuhusiana na uchumba wa
mastar wa big brother africa-BBA, Feza kessy kutoka Tanzania na Oneil
kutoka Botswana, hii ni kutoka na kuvunjika kwa penzi la washiriki
wengine waliokuwa ndani ya jumba hilo kubwa Beverly Osu kutoka Nigeria
na Angelo Collins kutoka South African, kwa Habari alizopenyeza Bev kuwa
Angelo amerudiana na girlfriend,
Candice Arends ingawa wiki chache ziizopita Angeo alikuwa Nigeria
aipokwenda kumtembelea Beverly.