Breaking News

:

MA$E KATANGAZA KUACHIA ALBUM MPYA SOON


Yule mkali wa nyimbo kama feel so good, welcome back, look at me na nyingine nyingi Mason Durell Betha
aka Ma$e ametangaza kuachia albam yake hivi karibuni, hayo aliyasema katika page yake ya twitter, just wait ujio mpya wa ma$e.