Breaking News

:

MAMA SALMA KIKWETE AMTEUA BALOZI MWENYE MIAKA 11


Huyu ni balozi aliyeteuliwa na Mama Salma Kikwete ajulikanae kwa jina la Zuriel Oduwole mweye umri wa miaka 11, ni muelimishaji wa bara la Afrika katika mchakato wa rebranding Africa, Zuriel ambaye ni raia wa
Nigeria alikuja nchini kuzindua mradi wa Dream Up, Speak Up, Stand Up ambao unalenga kuwapa moyo watoto wa kike na kuzuia ndoa za watoto wa kike wenye umri mdogo.