MCHUNGAJI NA MUTUMISHI THE CREATIVE GENERATION WAKIMCHEKESHA RAIS UHURU KENYATTA:
Leo katika sikukuu ya Mashujaa Day, Rais wa Kenya Rais Uhuru Kenyatta alipata good time mpaka kutoa machozi baada ya wachekeshaji Muchungaji and Mutumishi the Creative generation kutoa vichekesho vyao ndani ya viwanja vilivyotumika kufanikisha sherehe hiyo. Mashujaa day ni sherehe inayofanyika kila mwaka
tarehe 20 octoba kuwaenzi mashujaa wa Kenya walio iwezesha Kenya kupata Uhuru. Kabla ya kuitwa mashujaa sherehe hiyo iliitwa Kenyatta day mpaka August 2010 ndipo ilipobadilishwa na kuitwa Mashujaa day.