Breaking News

:

CHRIS BROWN KIZUIZINI TENA KWA KOSA KAMA LA KUMPIGA RIHANNA.


Chris brown 
Mchumba wa zamani wa Rihanna ajulikanae kwa jina la  Chris Brown ataendelelea kuwa chini ya uangalizi na kutumikia kifungo cha nje huku akifanya kazi za jamii huko Los angeles, Marekani, hii ni kutokana na
kumpiga mtu huko Washington D.C, hii ni kwa mujibu wa msemaji wake.

Akielezea juu ya hili tukio october 30 baada ya kutoka jela alipowekwa kutokana na hilo shambulio, Chris Brown alisema anaitaji matibabu ya kitaalam juu ya tabia yake hii  iliyojitokeza.
Chris Brown, October 28,2013
Ikumbukwe kuwa Chris Brown yuko kwenye kizuizi kingine cha masaa 1000 aliyoyapata mwaka 2009 baada ya kumpiga mpenzi wake wa kipindi hicho Rihanna, hii inaweza mfanya kutupwa jela miaka minne endapo sheria zikibaini hakuna mabadiliko yaliyotokea kwenye hiyo tabia yake..
Rihanna alivyoshambuliwa na Chris Brown.