Breaking News

:

HAWA NDO WACHEZAJI 10 WENYE THAMANI KULIKO WOTE DUNIANI MWAKA 2014.


Messi juu ya Ronaldo
Hivi karibuni imekua vigumu sana kupata takwimu za ukweli kuhusu wachezaji wenye thamani kubwa katika soka la kimataifa, kampuni moja yenye maskani yake brazil inayojulikana kwa jina la Pluri Consultoria   limeanika list ya wachezaji kumi wenye thamani duniani ingawa Gareth Bale aliyehama toka Tottenham
hotspurs kwa uhamisho wa  €100 kutokuwemo katika orodha hii , hii ndo list yenyewe;

1.Lionel Messi, Argentina, Fc barcelona-: €139.6M

2.Cristiano Ronaldo, Ureno, Real Madridid-: €104.2M

3.Neymar, Brazil, FcBacelona-: €67.4M
  
4.Edinson Cavani, Uruguay, PSG-: €63.0M

5.Radamel Falcao, Colombia, Monaco-: €59.1M

6.Mesut Ozil, Germany, Arsenal-: €54.0M

7.Andres Iniesta, Brazil, FcBacelona: €53.7M

8.Mario Gotze, Germany, Bayern Munich-: €48.8M

9.Wayne Rooney, England, Bayern Munich-: €48.2M

10.Frank Ribery, France, Bayern MUnich-: €46.8