LISTEN AND DOWNLOAD MP3; AKON-SO BLUE
Huyu ni msanii mwenye asili ya Africa anajulikana sana kama Aliaune Damala Akon Thiam a.k.a Akon, aliyezaliwa april 16, mwaka 1979 Huko St louis, Missouri, Marekani. Akon ni msanii wa miondoko ya rnb na hiphop, akiwa pia ni mwandishi na vilevile ni producer aliyesikika mara ya kwanza mwaka 2004 alipoachia wimbo wake unaokwenda kwa jina la locked up uliojumuishwa kwenye albam yake iliyokwenda kwa jina la Trouble. SO BLUE ni jina la wimbo mpya wa Akon usikilize na download hapa ukiwa ni master version ;