Sikiliza na download wimbo mpya wa Bruno Mars aliouimba jumapili iliyopita kwenye tuzo za MTV EMAs 2013 zilizofanyika Amsterdam , pia amewashilikisha Pharell willium na Robert Kelly a.k.a R. Kelly ni wimbo mzuri unaokwenda kwa jina la GORILLA Ukiwa ni remix.