SIKILIZA NA DOWNLOAD MP3; DARASA FT MCHIZI MOX & SHILOLE-MIKONO JUU.
Huyu ni mwana Hiphop kutoka Tanzania, anakwenda kwa jina la Darasa akiwa amewashilikisha wakali wa muziki wa kizazi kipya, Mchizi Mox mkali mwingine wa Hiphop na mwanadada Shilole, wimbo unakwenda kwa jina la mikono juu, ni moja ya nyimbo zitakazopatikana katika mixtape ya darasa itakayokwenda kwa jina la dream big;
Hii ndo list ya nyimbo zitakazokuwemo dani ya mixtape hiyo ya Darasa, sikiliza na download huu wimbo hapa chini;