Breaking News

:

SONG: CHEGE CHIGUNDA FT GIFT - CHAPA NYINGINE.

CHEGE CHIGUNDA FT GIFT - CHAPA NYINGINE
Chege Chigunda
Chapa nyingine ni jina la wimbo wa msanii toka Tmk wanaume anayejulikana kwa jina la Chege Chigunda mtoto wa Mama Said, ni moja ya wasanii wanaosifiwa kwa kutokuwa na skendo nyingi na ndio kitu kinachomfanya azidi kung'aa kila siku katika fani hii ya Bongoflava, katika huu wimbo, Chege amemshilikisha Mwanadada Gift.