Lupita Nyong'o kasheherekekea siku yake ya kuzaliwa akiwa na mwanadada Angelina Jolie pamoja na Bradpitt ambaye ni mume wa Angelina Jolie, angalia picha hapo chini jinsi sherehe hiyo ya kutimiza miaka 31 ilivyopendeza kwa keki mbili.
LUPITA NYONG'O ASHEREKEA SIKU YA KUZALIWA AKIWA PAMOJA NA ANGELINA JOLIE NA BRADPITT .
Reviewed by eltonamana
on
10:49 AM
Rating: 5