Breaking News

:

NWANKO KANU AFANYIWA UPASUAJI WA MOYO KWA MARA YA PILI.

NWANKO KANU -faridid zone
Yule mcheza soka maarufu kutoka nchi ya Nigeria na mwanzilishi wa taasisi ya magonjwa ya moyo inayojulikana kwa jina la Kanu Heart Foundation(KHF), Nwanko Kanu amefanyiwa upasuaji wa moyo kwa mara ya pili wikiend iliyopita, ukiacha ile ya mara ya kwanza aliyofanyiwa mwaka 1997, operation hiyo ilifanyika katika Hospital ya cleveland iliyoko Ohio, U.S.A ambayo ndio hospital aliyohusika na upasuaji wa mara ya kwanza mwaka 1997. Operation hiyo ilikuja kutokana na checkup ambazo Kanu amekuwa akizifanya kila Mwaka katika hospitali hiyo, Naye coordinator wa KHF Pastor Abia akiwaondoa hofu mashabiki wake kwa kusema operation immemalizika vizuri na wanamatumaini ya kurudi nyumbani hivi karibuni.