PICHA YA SIKU: HII NDO PAMBA YA MWANZA ENZI HIZO.
Waliosimama toka kushoto - Madatta Lubigisa, Rajabu Musoma, Beya Simba, Nteze John “Lungu”, Kitwana Selemani “Popat”, Fumo Felician (Mzee wa mishuti), Pascal Mayala, na Paul Rwechungura.
Waliokaa toka kushoto- George Gole, Khalfan Ngassa (mzee wa makanzu), Ally Bushiri, Alphonse Modest (beki mtulivu), Mao Mkamy (Ball Dancer), Saleh Muhammad (aliziba pengo la masatu), Hamisi Nyembo, na Nico Bambaga