WATOTO 14 WAKIIGIZA MASTAA NDANI OSCAR AWARDS 2014 RED CARPET.
Huu ni ubunifu wa photographer Tricia Messeroux, kutoka New york, Marekani kwa kuwa transform watoto 14 kama mastaa wa Osca 2014 walivyotupia kwenye Red Carpet, Baadhi ya mastaa walioigizwa ni pamoja na Lupita Nyong'o, Pharell Williams na mke wake, Jared Leto, Kelly Osbourne na wengine waangalie picha zao hapa chini.
Lupita Nyong'o
Pharell Williams & wife
Meryl Streep
Jennifer Lawrence
Charlize Theron
Giuliana Rancic
Jared Leto
Matthew McConaughey & Camila Alves
Kelly Osbourne