Breaking News

:

FANTASIA BARRINO--NYOTA WA AMERICAN IDOL.


FANTASIA BARRINO

                                                      
Artist; Fantasia Barrino.
                                                              Song; When i see u.

Fantasia Monique Barrino amezaliwa  June 30 mwaka 1984, Fantasia A.K.A mononym Fantasia ni mwimbaji na mwigizaji wa nyimbo za , is R&B ambaye alichomokea kwenye mashindano ya season ya tatu ya the reality television series American Idol mwaka 2004. Fantasia alifanikiwa kutoa wimbo wake ya
kwanza uliojulikana kwa jina la "I Believe," ambayo uliweza fika namba moja kwenye chat za Billboard Hot 100. Baadae ikafuatia alibam iliyoitwa Free Yourself, ambayo ilifikia Platinum.

Mwaka 2006, Fantasia alitoa albam yake ya pili iliyokuwa na wimbo mkali ulionifanya nianze mfatilia Fantasia ulioitwa "When I See U" ambao ulifika Billboard Hot R&B/Hip-Hop Songs kwa wiki nane, ambayo ilifikia Gold na kupewa tuzo tatu za Grammy mwaka 2008.


                         
FANTASIA BARRINO IN BIKINI WEAR