Jay z kushoto na baadhi ya abiria walio ndani ya treni ya umma, Jay z alikuwa London kwa shoo aliyoifanya
ndani ya viwanja vya o2, katika tour hiyo Jay z aliongozana na na rafiki yake wa karibu Chris Martin , mtayarishaji Timbaland , meneja Ty Ty na
mtendaji Atlanta Records Michael Kyser .