KAMA ULIKOSA BET HIPHOP MUSIC AWARDS CHECK LIVE PERFORMANCE YA FRENCH MONTANA, KING DIDDY, RICK ROSS, NA SNOOP DOG.
Huyu ni French Montana rapper wa kimarekani ndani ya BET hip hop music
awards akiperform live jukwaani wimbo wake i aint
worried about nothing ( remix ) akisindikizwa kwenye stage na marapper
wenzake King Diddy, Rozay and Uncle Snoop, humu ndani utamuona p diddy a.k.a king
diddy akivalishwa kofia ya king.