Breaking News

:

LADY JAYDEE NA DIAMOND PLATINUMZ NDANI YA COKE STUDIO AFRICA

                                       
Coke Studio Africa ni vipindi vya TV ambavyo vimejumuisha wasanii kutoka Africa ambao watakuwa wakishilikiana kuimba nyimbo 50 za kiafrica, season ya kwanza itakuwa na wasanii 30 wenye vipaji ambao ni Salif Keita kutoka Mali; King Sunny Ade, MI, Waje, Jimmy Jatt na Bez kutoka Nigeria; Octopizzo, Miss Karun na Just a Band kutoka Kenya; Hip Hop Pantsula, and Tumi kutoka Africa kusini; Boddhi Satva kutoka jamuhuri ya africa ya kati; Diamond Platinumz and Lady Jaydee kutoka Tanzania; Joel Sebunjo, Qwela and Lillian Mbabazi kutoka Uganda pia The Culture Music Club kutoka Zanzibar.
                                           DIAMOND PLATINUMZ & HPP-TEMPTATION