Mkongwe wa bongo flava Q chillah ndani ya video yake aliyoitoa hivi karibuni inaenda kwa jina la beautiful, Hebu tuicheki wadau.