Breaking News

:

JE BEI YA UMEME ITAPANDA KWA ASILIMIA 68?

Hili ni swali unaloweza jiuliza je eti bei ya umeme itapanda kwa asilmia 67.87, wakati tukiwa katika tatizo la umeme, shirika la umeme nchini TANESCO limeomba kupandisha gharama za umeme, hii ni kutokana na kupanda kwa
gharama za uendeshaji , shirika hilo  limeomba kuongeza bei ya umeme kwa asilimia 67.87 ikiwa ni kutoka Sh197.8 kwa Unit mpaka Sh332.06. Kwa sasa shirika hilo linazalisha umeme utokanao na nguvu za maji kwa asilimia 13 na zile zitokanazo na gesi kwa asilimia 42 na utokanao na mitambo ya mafuta ni asilimia 45. Haya yalielezwa jana na Kaimu Mkurugenzi wa Tanesco, Felchesmi Mramba,