Breaking News

:

MWANAMKE ALIYEKUWA MNENE KULKO WOTE DUNIANI APUNGUA UZITO WA PAUND 600.

kabla ya kupunguza uzito
Mayra Rosales ni mwanamama mwenye umri wa miaka 32 ambaye inaaminika ndiye mwanamke aliyewahi vunja record ya kuwa mnene kuliko wote duniani , umaarufu wake ulisababishwa na kifo cha
 mpwa wake aliyejulikana kama Eliseo mwaka 2008 baada ya kukandamizwa na mwili wake, ingawa sheria haikumtia hatiani kutokana na kuonekana kutokuwa na hatia, kwa sasa mambo sivyo tena kutokana na Mayra kufanyiwa upasuaji na kupunguzwa uzito paund 600 kutoka paund 1000.
baada ya kupunguza uzito