Huu ni wimbo mpya wa Pitbull aliomshilikisha mkali mwenye asili ya kiafrica toka Congo mwenye makazi yake huko Sweden aliyepiga shoo kali katika jukwaa la fiesta, Dar, ajulikanaye kwa jina la Mohombi, wimbo unaitwa sun in califonia huu hapa sikiliza na download hapa chini;