SONG: KIUWIZ FEAT HAMONIZER-SO SPECIAL.
![]() |
Kuna nyimbo nyingi sana kali nazosikiliza kila siku na moja ya nyimbo kali niliosikiaza leo ni wimbo kutoka kwa Msanii anayekwenda kwa jina la Humphrey Kiula Kishiwa a.k.a Kiuwiz akiwa amemshilikisha Hamonizer wimbo unakwenda kwa jina la So special ukiwa umetengezwa street sound record, hebu sikiliza na download huu wimbo;