BONGODAY EXPLOSION; KATY PERRY MSANII ANAYESHIKILIA REKODI YA KUFIKISHA NYIMBO TANO BILLBOARD HOT 100 NDANI YA ALBAM MOJA.
Katy Perry
Katheryn Elizabeth Hudson aka Katy Perry, alizaliwa October 25 mwaka 1984 nchini Marekani katika kitongoji cha Santa Barbara, California. Mwimbaji huyu ambaye pia ni mwandishi mzuri wa mashairi, mwigizaji na mfanyabiashara alianza muziki kama mwimbaji wa nyimbo za dini na kufanikiwa kutoa albam yake ya kwanza iliyoitwa Katy Hudson mwaka 2001, Leo katika bongoday explosion amwangalia Katy Perry kama msanii wa kwanza kufikisha nyimbo tano katika chat za billboard hot 100 kutoka katika albam yake ya tatu iliyokwenda kwa jina la MTV unplugged iliyotoka mwaka 2009, nyimbo hizo tano ni pamoja na "California Gurls",(isikilize na download hapo chini.)
download the song califonia gurls from Kety Perry
"Teenage Dream", "Firework", "E.T.", and "Last Friday Night (T.G.I.F.)". Nakumfanya kushika record ya msanii wa pili ndani ya billboard, wa kwanza akiwa ni king of pop Michael Jackson kutoka kwenye albam yake ya Bad ya mwaka 1987.