EMINEM KAACHIA LIST YA NYIMBO NA COVER ART YA ALIBUM YAKE MPYA YA THE MARSHALL MATHERS LP2
Katika kujiandaa na utoaji wa albam yake mpya, Rapper maarufu duniani aliyejizolea umaarufu kwa nyimbo kali kama lose your self, love the way you lie, Not afraid na nyingine nyingi, Marshall Bruce Mathers III a.k.a Eminem ameachia
list ya nyimbo na cover art ya toleo jipya la albamu yake Marshall
mathers LP2, albamu hii inatarajiwa kuachiwa tarehe 5 November mwaka
huu, na inaweza kuuzwa kupitia eminem.com.
Cheki cover art hiyo hapo chini