Breaking News

:

BONGODAY MOVIE; 2PAC NDANI YA FILAMU YA JUICE (WATCH MOVIE HERE)

Hii ni moja ya filamu kali zilizowahi chezwa na msanii nguli wa hiphop 2pac shakur akishilikiana na  Omar Epps aliye act kama Discojoker au DJ. Filamu ilitoka mwaka 1992 pia iliwahusisha wasanii wengine kama Jermaine "Huggy" Hopkins, Khalil Kain, Samuel L. Jackson. Baadhi ya wasanii wa muziki waliotokelezea kwenye juice ni kama vile Queen Latifah, EPMD, Special Ed, Ed Lover, Dr. Dre, Flex Alexander, Fab Five Freddy, na Treach. Filamu imeongozwa na Ernest R. Dickerson. 

 Angalia hii movie hapo chini hapahapa Bongoday.