Ni wimbo mpya kutoka kwa msanii anayekuja juu katika miondoko ya hiphop/rap, si mwingine bali ni cassino ambao amewashilikisha Tyga kutoka kundi la Young money pamoja na Trinidad james unaokwenda kwa jina la killin it, isikilize na kudownload hapa chini;