DJ MKONGWE NCHINI RANKIM RAMADHAN AMEFARIKI DUNIA.
Rankim Ramadhan amefariki dunia leo katika Hospitali ya Mwananyamala Dar es salaam, ambapo alikuwa akisumbuliwa na ugonjwa wa appendix, Dj Rankim ni moja kati ya madj wakongwe nchini aliyefanya kazi katika club mbalimbali za muziki nchini na baadhi ya redio, redio alizowahi fanya kazi ni Radio one stereo, Magic fm, Clouds fm na nyingine nchini. R.I.P DJ RANKIM RAMADHAN.