Ni msanii wa kipekee mwenye staili za kipekee aliyefanya kweli sana miaka miwili mitatu iliyopita anakwenda kwa jina la Stopa the rhymecca, amekuja na kitu kipya kinacho kwenda kwa jina la wasiwasi akiwa na swahiba wake sir nature, hii hapa sikiliza na download;