Leo ni siki ya kuzaliwa kwa staa wa movie ya titanic, Leonardo Dicaprio aliyezaliwa tarehe 11, mwezi wa 11, mwaka 1974 huko Los Angeles, Califonia, United State. Dicaprio ambaye ni actor na mtengenezaji wa movie amefanikiwa kupata tuzo tatu za Academy and tuzo tisa za Golden Globe, baadhi ya movies alizowahi cheza mkali huyu mwenye movie nyingi ni pamoja na Titanic,Django unchained, the beach, the departed, Romeo+juliet, the aviator, J.Edga na nyingine nyingi. Mastaa wengine waliozaliwa siku kama ya leo ni;
|
Demi moore(51) |
|
Christa Allen (22) |
|
Stanley Tucci(53) |
|
Calista Flockhart (49) |
Na wengine wengi.