Huu ni ushirikiano kati ya Young jeezy na YG katika song Birfday, track hii imetengenezwa na Tony Rey na itapatikana katika albam ya YG itakayokwenda kwa jina la ‘My Krazy Life’ ambayo itatoka mwaka ujao. hii hapa sikiliza na download hapahapa bongoday;