Breaking News

:

ILI KURAHISISHA MATIBABU DK MVUNGI KAPELEKWA AFRIKA KUSINI

Ili kurahisisha matibabu ya mjumbe wa  tume ya Mabadiliko ya Katiba, Dk Sengondo Mvungi, amepelekwa Afrika Kusini kutokana na kujeruhiwa na majambazi. Hayo aliyasema Mwenyekiti wa NCCR-Mageuzi,
James Mbatia muda mfupi kabila ya Dk Mvungi kusafilishwa, pia alisema anaishukuru Taasisi ya mifupa ya Muhimbili Moi kwa kazi walioifanya.