Hii ni taste mpya ambayo Bobby Ray Simmons, Jr. a.k.a B.O.B ametupa kutoka katika album yake inayokuja inayokwenda kwa jina la
Underground Luxury, hii truck inakwenda kwa jina la all i want ambayo ameiachia novemba 17, mwaka huu. Hii hapa sikiliza na kudownload;