Breaking News

:

ANGALIA PICHA NA VIDEO YA MARIAH CAREY AKIWA NIGERIA.


Mariah Carey
Staa wa muziki wa RnB Mariah Carey jana alipiga show kali katika jiji la Lagos, Nigeria katika hotel ya Eko hotel iliyoko Lagos, huku akitoa salamu kwa msiba wa Rais wa Africa kusini Nelson Madela. angalia picha na video hapa chini;