BONGO STAR SEARCH YATOA MILLIONEA MPYA NDANI YA TANZANIA KUTOKA MWANZA.
![]() |
Emmanuel Msuya |
Huyu ndo milionea mpya ndani ya Tanzania, anajulikana kwa jina la Emmanuel Msuya kutoka Mwanza aliye ibuka mshindi wa kwanza katika shindano la Bongo star search na kuchukua kitita cha sh Million 50 baada
ya kumshinda Elizabeth Mwakijambile kutoka Dodoma, huku Melisa John kutoka Dar akishika nafasi ya tatu. Washiriki waliofika fainali ni Melisa John, Amina Chibaba, Maina Thadei, Elizabeth Mwakijambile na mshindi akawa Emmanuel Msuya. Majaji katika shindano hilo walikuwa ni Fareed Kubanda, Banana Zoro, Master Jay na kiongozi wao madam Ritha, aliyekoseka katika list ya majaji ni jaji mkolofi anaekwenda kwa jina la Salama Jabir.